UNIVERSITY OF NAIROBI
DEPARTMENT OF GEOGRAPHY & ENVIRONMENTAL STUDIES
CITIZENS SERVICE DELIVERY CHARTER
Commitment to Service Delivery Charter
s/n |
SERVICE |
REQUIREMENTS |
COST |
TIMELINE |
1 |
Shortlisting postgraduate applicants |
Applicant to meet all Admission requirements |
Payment of application fees |
three days upon uploading of all requirements |
2 |
Issuance of registration guidelines |
Students to register course units in SMIS |
Payment of fees |
Upon admission |
3 |
Issuance of teaching timetables |
Release of approved semester dates |
Nil |
One week before reporting dates |
4 |
Conducting lectures and other learning activities |
Payment of fees and other charges |
As detailed in the admission package |
As per approved schedules |
5 |
Consolidated mark sheets |
Timely marking of exams |
Nil |
One month following end of examinations |
6 |
Supervision of post graduate Projects/Theses |
Addressing and forwarding of proposals/Projects/Theses comments to the student |
Nil |
Feedback to students within two week after receiving a copy of the proposal/project/ thesis |
7 |
Seminar presentations |
Complete and signed MA/MSc proposal/project |
Nil |
Every last Friday of the month |
8 |
Process of Recruitment and Promotion |
Meeting application deadline |
Nil |
To be completed within twelve weeks, from advertisement to issuance of letter |
9 |
Staff Performance appraisal |
Completing appraisal form |
Nil |
To be conducted between July 1st and June 30th every academic year |
10 |
Procurement of goods and services |
Getting the due approvals |
Nil |
To be done within eight weeks |
11 |
Customer communication
|
Responding to telephone calls |
Nil |
Within twenty minutes |
Complaints, compliments and suggestions should be forwarded to the departmental office Hyslop building Room 308 and in case of appeals to:
Dean, Faculty of Arts
P.0. Box 30197- 00100, Nairobi, Kenya
Tel: 254-020 318261 Ext. 28146
Hot line: 0735431574
Email: deanarts@uonbi.ac.ke
Website: www.arts.uonbi.ac.ke
Dr. Boniface Wambua
Chairman, Department of Geography and Environmental Studies
CHUO KIKUU CHA NAIROBI
IDARA YA GEOGRAFIA NA MASWALA YA MAZIGIRA
HATI YA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA
KUJITOLEA KUFUATA HATI YA UTOAJI WA HUDUMA
s /n |
HUDUMA |
MAHITAJI |
MALIPO |
MUDA |
1 |
Uteuzi wa awali wa wanafunzi wanaonuia kujiunga na kiwango cha uzamilifu |
Mahitaji ya kijiunga yaliopo mtandaoni |
Bure |
Siku moja baada ya kutimiza mahitaji yote mtandaoni |
2 |
Utoaji wa miongozo ya Kujisajilisha |
Usajili wa kozi |
Bure |
Unapojiunga na Chuo |
3 |
Utoaji wa ratiba za kufunzia/kufundishia |
Utoaji wa tarehe za muhula zilizokubalika |
Bure |
Wiki kabla ya tarehe za kuripoti |
4 |
Kutoa mihadhara na shughuli nyinginezo za masomo |
Malipo ya karo na ada nyingine |
Kama ilivyoelezwa katika stakabadhi za Kujiunga na Chuo |
Kama ilivyo kwenye ratiba iliyoidhinishwa |
5 |
Stakabadhi unganifu za alama za mitihani |
Kusahihisha mitihani kwa wakati ufaao |
Bure |
Mwezi mmoja baada ya mitihani kufanywa |
6 |
Usimamizi wa tasnifu za Uzamili na Uzamifu |
Kukamilisha na kuwasilisha tasnifu |
Bure |
Kuwasiliana na wanafunzi katika muda usiopita majuma mawili baada ya kupokelewa kwa tasnifu. |
7 |
Uwasilishaji wa semina |
Kukamilisha na kutia ishara wa pendekezo ya tasnifu/tasnifu kamili ya MA/Msc |
Bure |
I jumaa ya mwisho katika kila Mwezi |
8 |
Mchakato wa kuajiri na kupandisha cheo |
Kutimiza makataa ya maombi |
Bure |
Kukamilishwa katika kipindi kisichopita majuma kumi na mbili kuanzia kutangazwa kwa nafasi hadi kutolewa kwa barua |
9 |
Tathmini ya utendakazi wa wafanyakazi |
Kujaza fomu ya tathmini ya utendakazi |
Bure |
Kutekelezwa kati ya mwezi wa Julai tarehe moja na Juni tarehe thelathini ya kila mwaka wa masomo |
10 |
Ununuzi wa bidhaa na huduma |
Kupata idhini zinazotakikana |
Bure |
Kufanyika katika kipindi kisichopita majuma nane |
11 |
Kupokea simu zinazopigwa |
Mawasiliano ya wateja |
Bure |
Kwa muda usiopita sekunde ishirini |
Malalamishi, pongezi na maoni yapelekwe kwa wakuu wa idara husika na kama kuna maombi ya rufaa yapelekwe kwa:
Mkuu wa Kitivo, Kitivo cha Masomo ya Sanaa
S.L.P 30197- 00100, Nairobi, Kenya
Simu: +254 2 318262 - 28146
Simu ya Dharura/moja kwa moja: 0735431574
Barua-pepe: deanarts@uonbi.ac.ke
Tovuti: www.arts.uonbi.ac.ke
Dr. Boniface Wambua
Chairman, Department of Geography and Environmental Studies